International Women's Day

International Women's Day

IMETOSHA

IMETOSHA

KUMRADHI

Kutokana na kubanwa na masomo, mabandiko hayatakuwa kila siku kama awali.
NAWAPENDAFriday, June 15, 2012

Maendeleo ya hali ya Bwn. Domitian Rutakyamirwa

Kama ambavyo tulitangaza juma lililopita, kulikuwa na kikao kujadili hali ya Ndg. Domi. Katika kikao hicho, ilikubaliwa kukutana juma hili kujua maendeleo zaidi na maamuzi ya madaktari kuhusu hali yake. Kikao kati ya madaktari na ndugu wa Bwn. Domitian kitafanyika leo alasiri, hivyo tunapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa HAKUTAKUWA NA KIKAO IJUMAA HII kwa kuwa muda wa kikao ndio ambao ndugu na madaktari watakuwa kikaoni. TUTAKUTANA IJUMAA IJAYO Asanteni

No comments: