Monday, July 23, 2012

Uzinduzi wa tawi la CCM Washington DC

Tarehe 25 mwezi ujao, Chama Cha Mapinduzi kitazindua tawi lake dogo kwa wakazi wa Washington DC na vitongoji vyake.
Ili kuwekana sawa katika harakati hizi, mwenzangu Abou Shatry wa Swahilivilla Blog aliwasaka viongozi wa muda wa CCM hapa DMV na kufanya nao mahojiano. Wafuatilie hapa chini

1 comment:

kazimoto said...

Hawa with Wa ccm ni wapuuzi Wa kupindukia hawana mwelekeo wala Sera za thati za kupambana name haRi mbaya ya umaskini inayoendelea Tanzania in majitu yasiyojitambua nini yanatakiwa kufanya. What I can say chadema mwendo mdundo.