Friday, December 14, 2012

Maendeleoya msiba Washington DC Metro

UPDATES:
Jumamosi tarehe 22,December 2012 saa sita kamili mchana(12:00 noon)kutafanyika misa na pia kuuaga mwili wa marehemu Mzee wetu Alexander Minja Kombe katika kanisa la St.Camillus lililopo:
1600 Camillus Drive
Silver Spring,MD 20903
Tafadhali fika mapema.

Baada ya misa unakaribishwa kushiriki na familia katika chakula cha mchana nyumbani kwa marehemu katika anuani ifuatayo:
8918 2nd Street
Lanham,MD 20706

Kwa maelezo zaidi wasiliana na wafuatao:
George Kombe-240 476 3260
Leslie Kombe-240 386 7583
Stella Kombe-301 281 1116
Dorice Mushi-240 688 3219
Jerome Kassembe-240 682 6067
Baraka Daudi-301 792 8562

Tafadhali tumia account ifuatayo kwa michango ya rambi rambi:
Jina:Julia Shirima
Bank:Bank of America
Routing:052001633
Account:44 60 25 80 85 24
Asanteni.

Familia ya Mary Kombe mjini Washington, DC inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Mr. Alexander Minja Kombe (pichani) kilichotokea leo alfajiri (Ijumaa -December 14,2012) nyumbani kwake Lanham, Maryland.

Msiba upo nyumbani kwake:
8918 2nd Street
Lanham,Md 20706

Kwa habari zaidi wasiliana na wafuatao:
George Kombe-240 476 3260
Leslie Kombe-240 386 7583
Stella Kombe-301 281 1116
Dorice Mushi-240 688 3219
Jerome Kassembe-240 682 6067
Baraka Daudi-301 792 8562.

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Amina.

No comments: