Hivi karibuni, The Image Professional walifanya mahojiano na mwanamuziki mwenye mafanikio katika muziki wa "kizazi kipya" Dully Sykes kuhusiana na mabadiliko hayo ya
sheria ya ushuru wa bidhaa..
Katika mahojiano haya, Dully ameelezea mitazamo mbali mbali kuhusiana na
uwekaji STAMP kwenye kazi za sanaa ya Muziki na Filamu
UNGANA NAO HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment