Wednesday, January 9, 2013

Ana kwa Ana ya Lady Jay Dee na The Image Profession

Hivi karibuni, The Image Professional walifanya mahojiano na mwanamuziki mwenye mafanikio katika muziki wa "kizazi kipya" Judith Dainess Wambura Mbibo a.k.a Lady Jay Dee kuhusiana na mabadiliko hayo ya sheria ya ushuru wa bidhaa..
Katika mahojiano haya, Judith ameelezea mitazamo mbali mbali kuhusiana na uwekaji STAMP kwenye kazi za sanaa ya Muziki na Filamu
UNGANA NAO HAPA

No comments: