Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano kati ya JAMII PRODUCTION na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi Maajar
Katika sehemu hii, Mhe. Maajar anaeleza:
1: Kuanzishwa kwa Kituo cha Kiswahili hapa Marekani
2: Anazionaje Jumuiya za waTanzania hapa Marekani?
3: Moja ya mambo mengi yaliyojitokeza Uingereza na Marekani wakati wa ubalozi wake ni kufunguliwa kwa matawi mengi ya kisasa. Je! Nini wajibu wa balozi kwayo na ni upi wajibu na umuhimu wa kuwa na matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi?
4: Ni kipi kipimo cha mafanikio ya balozi? Na anaamini amefanikiwa kwa kiwango gani?
5: Ni kwanini amekaa muda mfupi hapa Marekani ukilinganisha na UK? Ni maamuzi yake ama uamuzi wa Mhe. Rais?
6: Nini FANIKIO na ANGUKO lake kubwa katika kazi yake kama Balozi?
Na mengine mengi.
UNGANA NASI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment