Thursday, May 9, 2013

Ana kwa Ana ya Ebou Shatry na Swahili TV

Ebou Shatry akiwa katika kipindi cha Maisha Ughaibuni moja kwa moja kutoka Maryland, USA.
SIKILIZA SEHEMU HII YA KWANZA

Na katika sehemu hii ya pili, Ebou Shatry Chief wa Swahilivilla blog, anaawasa watanzania wakubaliane na changamoto. Waache kulalamika "Watu wananizibia riziki".
Zaidi anawaomba watanzania wawe kitu kimoja, wapendane na kushirikiana, kama zilivyo jamii za mataifa mengine Ughaibuni.

No comments: