Zimebaki siku chache kabla ya tukio hili la kipekee kwa kinadada.
Na ticket ndiyo zinayoyoma.
Hivyo......Jipatie ticket yako sasa.
Tiketi ni $65 nayo inajumuisha..
- Dinner and dance- Open Premium bar
- Free Parking (Parking zipo za bure hotelini)
- Live performances
- Fashion shows
- and more
To buy ticket online (with your credit card or PayPal) CLICK HERE
- you will be charged $2.00 processing fee (P'se call us after paying with PayPal)
Kwa ufafanuzi zaidi angalia video hii mpya ya TANO Ladies
No comments:
Post a Comment