Saturday, May 18, 2013

Unapotafutwa mstari mwembamba kati ya SAYANSI na MISINGI YA UHAI kuwezesha UHAI

Hivi karibuni kumekuwa na harakati za wanasayansi / watafiti kutafuta tiba za magonjwa mbalimbali yanayoonekana kuziathiri jamii. Ukweli ni kuwa, wanalosaka, ni kutafuta namna ya kuweza kurefusha maisha, lakini katika hilo, wanaonekana kukwaza baadhi ya wanaoamini katika DINI Haya ni matoleo ya wiki hii toka kituo cha NPR ambayo yamezungumzia "mafanikio" katika sayansi ambayo yanaonekana kuwa n"anguko" kwa wenye imani.

No comments: