Monday, July 29, 2013

Mahojiano na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi Kansas (KCN)

 
Karibu katika mahojiano baina ya Jamii Production na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi cha Kansas Ndg Michael Katunzi na Ndg Robert Otto
Katika mahojiano haya, wanaeleza mambo mbalimbali ikiwemo walipopata na walivyopata wazo la kuanzisha chuo hiki, walivyoanzisha na walipo hivi sasa, changamoto walizokutana nazo kuanzia kuanzisha mpaka kilipo sasa, mafanikio yao na ya chuo chao pamoja na mipango yao juu ya chuo hicho kilicho katika nafasi za juu miongoni mwa vyuo vya uuguzi jimboni humo.
Karibu uungane nasi

2 comments:

shelukindo said...

Hongereni sana watanzania wenzangu mmenitia moyo wa ajabu wa kuthubutu,natamani sana career ya nursing kuanza na hii cna kuelekea RN lakini sina karatasi I wish ningekua hapo kansas labda mngeona namna ya kunisaidia.

Yasinta Ngonyani said...

HONGERENI SANA TENA SANA KAKA ZANGU..HAKIKA MMENITIA MOYO NASHUKURU SANA ...NAWATAKIENI KILA LA KHERI