Saturday, September 14, 2013

[AUDIO]: DAKIKA 90 ZA DUNIA: Kumbukumbu ya tukio la kigaidi la Septemba 11 @ Capital FM Radio

Jumatano wiki hii, nchi ya Marekani na dunia kwa ujumla iliadhimisha miaka 12 tangu kutokea kwa shambulio kubwa la kigaidi nchini humo lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 3000 na kufungua ukurasa mpya wa vita dhidi ya ugaidi.
Bahati Alex wa Capital Radio Dar (L) na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC (R)
Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa kila Jumamosi na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania.
Ripoti hii ni ya Septemba 14, 2013 
KARIBU UUNGANE NAO

No comments: