Monday, September 30, 2013

Kipindi kipya cha FAMILIA toka Jamii Production

Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA ambacho kinaandaliwa na kutangazwa na Dada Georgina Lema katika studio za Jamii Production hapa Washington DC
Katika kipindi hiki cha kwanza, Georgina anaungana na wageni wake Bwn Hezekia Mwalugaja na Bwn Jacob Merere kuiangalia FAMILIA kwa mtazamo wa nyumbani Tanzania na hapa
Hiki ni kipindi cha kwanza na kimoja kati ya vingi vitakavyokujia kutoka kituo hiki cha kijamii

No comments: