Tuesday, October 1, 2013

Msiba New York na Tanzania


Marehemu Rose Naluhwa Sangiwa .
Kwa niaba ya familia ya Mataji tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Rose Naluhwa Sangiwa (Mama wa Robin, Henry na Robert Mataji) kilichotokea Rochester, NY siku ya Jumamosi September 27, 2013 saa kumi jioni.
Mipango kamili ya mazishi bado inapangwa.
Msiba utakuwa nyumbani kwa marehemu Rochester, NY. Taarifa zaidi zitawajia hapo baadae.
Kwa maelezo zaidi, piga simu kwa
Robin Mataji 404-583-2925
Robert Mataji 585-309-3169
Kie Mlay 240-354-8093
Robin Mataji
Chase Bank
RT#061092387
ACC#1962895365

No comments: