Shukrani kwa waTanzania wote na Jamii kwa ujumla kwa kuonyesha upendo wao mkubwa wa kufanikisha Michango kwenye msiba wa ghafla uliomkuta kaka yetu, ndugu yetu, jamaa yetu, Bwana Alex Kassuwi aliyefiwa na mkewe MARTHA SHANI, siku ya Jumamosi Oct 19, 2013 kwenye hospitali ya huko Frederick Maryland.
Watanzania waishio DMV wakiushindikiza Mwili wa marehemu Martha Shani ndani ya kanisa la Good Samaritan Lutheran Church lililopo Greenbelt Maryland kwa ajili ya maombi
Kwa wale waliokua wanafuatila vyema msiba uliomkumba mTanzania mwenzetu Bwna Alex Kassuwi. Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kuelkea Tanzania.
M/Mungu amjalie makaazi meema Peponi Ameen
Mfiwa Alex Kassuwi akiwa na wanawe Joseph Kassuwi mwenye miaka 13 na Christian Kassuwi aliye na takriban miaka 2 na nusu wakisikiliza neno la Mungu.
Picha zote kwa hisani ya SWAHILIVILLA BLOG
No comments:
Post a Comment