Saturday, October 26, 2013

LEO...Harambee ya Dada Martha Shani. USIKOSE TAFADHALI



Marehemu Bi Martha Shani 
Kamati ya Mazishi inapenda kuwatangazaia waTanzania na jamii yao (ndugu  Jamaa na Marafiki) kuwa LEO (Jumamosi. Oktoba 26, 2013) kuanzia saa nane mchana tutakuwa na HARAMBEE (Fundraising) kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuwezesha kusafirisha mwili wa Dada yetu Martha Shani na familia yake kuelekea nyumbani Tanzania
Harambee hiyo itafanyika
KEMP MILL ESTATE LOCAL PARK,
120 CLAYBROOK DR,
WHEATON. MD 20906

Kufika kwako ndio mafanikio ya kuwezesha kuusafirisha mwili wa Dada yetu mpendwa kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi

****TAFADHALI...MTAARIFU NA MWENZAKO*****

ASANTE 

No comments: