Thursday, October 17, 2013

Hafla kwa wawakilishi wa mikutano Benki ya dunia na Shirika la fedha Duniani

Hafla fupi iliyoandaliwa na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na CRDB Bank kuwakarimu wawakilishi wa serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wale wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliohudhuria mikutano ya kila mwaka ya Shirika la Fedha duniani na Benki ya Dunia hapa Washingtin DC
Hii ilikuwa Jumatano ya Oktoba 9, 2013

No comments: