Thursday, October 17, 2013

Raila Odinga alipoongea Johns Hopkins University Jijini Washington D.C


Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga wakati alipokua akitoa hotuba ya maelezo ya kitabu chake kipya cha cha Flames of Freedom Siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C nchini Marekani. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Kitabu hicho kipya kilichapishwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita, pia alizungumzia kua si mara yake ya kwanza kuandika kitabu cha wasifu wake kwani akiwa kizuizini alianza kuandika matukio aliyokuwa anayapitia lakini baada ya kuachiliwa akanyimwa makaratasi alivyokua kizuwizini.
Wasifu huo wenye kurasa 959 unaelezea maisha ya Bwana Raila Odinga kutoka utotoni hadi wakati alipohudumu kama waziri mkuu katika serikali ya muungano.
 Raila Odinga wakati alipokua akiulizwa maswali na majibu na baadhi ya wanafunzi na wageni walikuwa  wakati alipomaliza hotoba kuhusu Siasa za Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla, siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Bw Raila Odinga ameelezea kuwa kitabu chake kina mchakato wa kupigania mfumo wa vyama vingi vya kisiasa nchini kwa ushirikiano na babake pamoja na rais mstaafu Mwai Kibaki. Ananukuu mateso aliyopitia wakati alipozuiliwa na rais mstaafu Daniel Moi kwa zaidi ya miaka mitano. Wasifu huo pia unazumgumzia sababu zilizopelekea Bw Odinga kuungana na chama cha KANU baada ya uchaguzi wa 1997, njama za kumng’oa rais mstaafu Moi mamlakani kwa kutangaza 'Kibaki Tosha’ na jinsi alipoanzisha kampuni nyingi ikiwemo KEBS.
Raila Odinga alipokua akijibu maswali yalioulizwa na wageni walikwa pamoja na wanafunzi  wakati alipomaliza hotoba kuhusu Siasa za Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla, siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
 Odinga asema Uislamu ni dini ya amani, wakati alipokua akijibu swali kuhusu Al Shabaab Johns Hopkins Universi Washington DC
 
Wageni walikwa pamoja na wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Raila Odinga wakati akijibu maswali   siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Mmoja wa wageni walikwa akimuliza swali  Mhe. Raila Odinga wakati wa kipindi cha maswali na majibu  siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Mmoja wa wageni walikwa kutoka nyumbani Kenya aliponunua kitabu chake cha Flames of Freedom, wasifu wa kitabu  wake kimelenga kuendeleza ndoto ya Waafrika ambayo imeduwazwa na umasikini, ujinga, maradhi na uongozi mbaya.
Cheif wa swahilivilla  Ebou Shatry  akipata picha pamoja na kitabu cha Bwana Raila Odinga wakati alipokisani kama utambulisha wake 
 Bwana Raila Odinga akiweka saini kitabu cha Kakaa siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Bwana Raila Odinga akiweka saini kitabu cha Cecil DJomoshfaya Otieno siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
 
Moja kati ya wahabarishaji wa kipindi cha The OneMic Show Cecil DJomoshfaya Otieno akipata picha ya pamoja na Bwana Raila Odinga siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C . Sikiliza Audio ya Hutoba aliotoa ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C

No comments: