Monday, November 11, 2013

Kijiwe cha Ughaibuni


Karibu katika kipindi kingine cha Kijiwe cha Ughaibuni kinacholetwa kwenu na Blog ya Vijimambo. Katika kipindi hiki kinachojadili mambo mbalimbali yanayotokea kwenye jamii yetu.
Na wiki hii, wale wanaKijiwe Benja Mwaipaya na Yasin Eandi wamerejea katika Kijiwe na kurejesha "cheche" zilizopotea.
Wanaanza na maelezo ya KILICHOWAPOTEZA
UNGANA NAO.

No comments: