Tuesday, November 12, 2013

Mahojiano na mwanamuziki Dekula Kahanga a.k.a Vumbi

Hivi karibuni Jamii Production ilipata nafasi ya kuhojiana na mmoja wa wanamuziki waliojipatia umaarufu katika ucharazaji gitaa nchini Tanzania Dekula Kahanga aliye maarufu kwa jina la Vumbi. Mahojiano haya "mepesi" yamegusa mambo mbalimbali kuhusu maisha yake kimuziki Amehojiana na Jamii Production akiwa Sweden yalipo makazi yake ya sasa KARIBU UUNGANE NASI

No comments: