Muendeshaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Georgina Lema akiongea nano katika Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion kwenye maada ya Majukumu ya Mama katika Familia
Mubelwa Bandio pia akichangia maada katika kipindi cha Familia kinachoendeshwa na Dada Georgina Lema.
Baybe Mgaza akichangia kwenye Kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia.
Mgeni mwingine kwenye kipindi cha FAMILIA walikua ni Mayor Mlima.
Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Katika
kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu ya WAJIBU WA MZAZI KATIKA
FAMILIA na kwa wiki hii, tumejadili WAJIBU WA MAMA KATIKA FAMILIA.
Mbali
na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa
wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK
Karibu uungane nasi
No comments:
Post a Comment