Monday, December 9, 2013

Watanzania wahudhuria mkutano wa PSPF Washington DMV

Habari na picha kwa hisani ya SWAHILITV
Mkurugenzi wa PSPF Bwana Adam Mayingu akizungumza na wana Jumuiya ya DMV kuhufu faida za kujiunga na Mfuko huo wa Pensheni,Aliwahasa Watanzania kujiunga na mfuko huo wa Pensheni wa hiari ilikuweza kujipatia mafao mbali mbali kama, Mikopo ya nyumba,Elimu,Biashara,Fao la Kifo pamoja na Fao la ugonjwa.
Katibu wa CCM DMV Yacob Kinyemi na Katibu Mwenezi bi Salma wakisikiliza kwa makini

Meza Kuu ikiwa imewajumuisha Viongozi mbali mbali wa Jumuiya ya watanzania DMV

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Ndugu Iddi Sandaly akizungumza na wanajumuiya kabla ya Kuwakaribisha PSPF kumwaga sera zao
KWA HABARI ZAIDI  BOFYA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM


No comments: