Monday, December 9, 2013

Mhe. January Makamba akutana na uongozi wa CCM DMV

Picha na habari kwa hisani ya SWAHILITV blog
Bwana Makamba akipata taarifa mbalimbali za chama kutoka kwa viongozi wa CCM DMV

Na Swahili TV
Mjumbe wa Halimashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Januari Makamba alikutana na viongozi wa CCM DMV kwaajili ya kupata taarifa za uhai wa chama, kujua ugumu,mahitaji na mafanikio ya  kukiimalisha chama hicho.
Katika kikao hicho cha faragha mjumbe huyo ambaye pia ni Naibu waziri wa sayansi & teknolojia na mbunge Bumbuli alipata taarifa kutoka kwa viongozi wa CCM DMV wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bwana George Sebo.Hadi sasa tawi la DMV limeshafungua mashina zaidi ya 4 ambayo yote yana wenyeviti na makatibu wake.



Akisikiliza maelezo kutoka kwa katibu Mwenezi Bi salma Manyoka

PICHA ZAIDI BOFYA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM

No comments: