Sunday, December 22, 2013

Kipindi cha familia kutoka Jamii Production...Kwanini wanandoa hutembea nje ya ndoa zao? (Pt II)

   
Karibu katika sehemu ya pili ya kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production.

Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu KWANINI WANANDOA HUTEMBEA NJE YA NDOA?

Wachangiaji studio walikuwa ni Elizabeth Cherehani, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio
KARIBU UUNGANE NASINo comments: