Monday, April 14, 2014

Shukrani kwa kufanikisha Free Health Screening Washington DMV

Thank You, script lettering
Video Credits: Swahilivilla Videos
ASANTENI... Asanteni HCP Metro DC na NesiWangublog
Asanteni wataalamu wa afya waliojitolea,
Asanteni TanoLadies ,uongozi wa University Methodist Church
Uongozi wa The Way Of The Cross Gospel Ministriy, jumuiya ya Watanzania 'ATC' pamoja na wote mliojitoa kufanikisha huduma hii.
ZAIDI YA YOTE, Shukrani kwa Ebou Shatry Swahilivilla Blog ambaye bila yeye, wote tuliokosa kuhudhuria tusingejua kilichotokea.
WAKATI UJAO TUSIKOSE
Zifuatazo ni picha kwa hisani ya NesiWangu Blog p.txt Timu nzima iliyojitolea
  p.txt1
Dr.Carol Jagdeo na Dr.Rashid Ahmed wakiongoza timu ya HCP Metro DC
01_HCPMetroDC (36) 01_HCPMetroDC (1) 01_HCPMetroDC (18) 01_HCPMetroDC (19) 01_HCPMetroDC (23) 01_HCPMetroDC (33) 01_HCPMetroDC (39) 01_HCPMetroDC (48) 01_HCPMetroDC (51) 01_HCPMetroDC (56)

No comments: