Monday, April 14, 2014

Vijimambo na Kwanza Production kutangaza moja kwa moja miaka 50 ya Muungano Washington DMV


 

 Timu ya Vijimambo kwa kushirikiana na Kwanza Production watarusha LIVE maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya April 26, 2014 kuanzia 10am ET ambayo ni majira sawa na 3pm UK, 5pm TZ, 6pm Dubai, 4pm Spain, 10pm China, 11pm Japan, 4pm Denmark, 4pm Italy, 12am Austalia, 7pm South Africa na kwengineko.
Mambo mengi yatakuwepo jitahidi kufika ujionee mwenyewe na ujivunie Utanzania wako siku ya Jumapili April 27, 2014 kutakua na nyama choma itakayofanyika Greencastle Park  na kufuatiwa na mechi kabambe ya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars.
KARIBU SANA TUWE PAMOJA KATIKA KUFANIKISHA SHEREHE HII

No comments: