Thursday, September 11, 2014

Kassim Mganga, Auny Ezekiel, AJ Ubao kupamba Tamasha la Utalii na miaka minne ya Vijimambo

Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014
Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.
AJ Ubao
Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.

No comments: