Tuesday, September 30, 2014

Mahojiano na Dr Patrick Nhigula. Mgombea u-Rais wa DICOTA

Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio wa Kwanza Production na Dr Patrick Nhighula, mgombea wa nafasi ya uRais wa DICOTA 2014.
Mbali na kuielezea DICOTA yenyewe, pia ameeleza nia yake kugombea nafasi hiyo
Karibu umsikilize

No comments: