Wednesday, October 1, 2014

Mahojiano ya Swahilivilla na Mwanamama 'Power Black Nyati 'Jike Jeuri'

Karibuni katika mahojiano kati ya Ebou Shatry na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume.
Ameeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuia pikipiki kwa nyele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja ama kupasuliwa Jiwe kwenye kifua chake.
Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014.
Picha zote kwa hisani ya mwanawamakonda.blogspot.com
Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014.
 Karibu kusikiliza Mahojiano yetu

No comments: