Wednesday, May 13, 2015

Balozi mpya wa Malawi nchini Marekani atembelea Ubalozi wa Tanzania Washington DC

 Balozi mpya wa Malawi nchini Marekani Mhe. Nector Mhura akipokelewa na Afisa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC
 Mhe. Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Malawi nchini Marekani Mhe. Nector Mhura.
 Mhe. Balozi wa Malawi nchini Marekani akiweka saini kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe. Balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akimsikiliza kwa makini mwenyeji wake Balozi Liberata Mulamula alipokua akijitambulisha.
  Mhe. Balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi Jane Nankwenya.
 Mhe. Balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi Jane Nankwenya, kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Liberata Mulamula na Afisa wa ubalozi Swahiba Mndeme.

                   PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

No comments: