Tuesday, June 2, 2015

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6

Kwa mara ya kwanza, show ya aina yake kushirikisha ndugu wawili, Ali na Abdul Kiba itafanyika Washington DMV Jumamosi hii ya Juni 6, 2015
Mahala ni Fire Station 1
Anwani ni
8131 Georgia Ave 
Silver Spring. MD 20910
VIP packages bado zinapatikana na maegesho ni buuuureeeee

No comments: