Wednesday, January 31, 2018

Mahojiano na mwanaDiaspora Dr Frank Minja kutoka Marekani

Karibu katika mahojiano na Dr Frank Minja. Mmoja wa wanaDIASPORA waishio Marekani ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika kusaidia kuboresha huduma za X-Ray nchini Tanzania.
Dr Minja Mkurugenzi wa Neurology katika Hospitali ya Yale huko Connecticut nchini Marekani na Mwalimu katika Chuo Kikuu cha Yale.
Katika mahojiano haya, Dr Minja ameeleza mengi kuhusu historia yake na juhudi ambazo amekuwa akifanya kuboresha ELIMU na HUDUMA ya Afya Tanzania.
Kati ya mambo aliyofanya kabla ya mahojiano haya ni pamoja na
MAKALA HII ya namna alivyoshiriki kuboresha huduma za Afya Tanzania
pamoja na Barua hii kwa wanafunzi wanaotafuta Scholarship.

JUKWAA LANGU ni kipindi kutoka Vijimambo Radio na Kwanza Production kinachoijadili TANZANIA YA SASA NA ILE TUITAKAYO. *Tanzania katika jicho la DIASPORA.*
Ungana na Mubelwa Bandio, Dj Luke Joe na waalikwa wengine studioni kujadili mambo mbalimbali kuhusu siasa, afya, uchumi, utamaduni nk.
Usikose.
Ni Jumatatu na kila Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni mpaka 2 kamili usiku kwa saa za Marekani Mashariki (6:00 - 8:00pm ET)
Ni kupitia Kwanza Radio kwenye TuneIn
http://tun.in/sfwyf ama 202-683-4570

**********************************************

PANEL: Mubelwa Bandio, Dj Luke Joe + special guests

PRODUCER: Mubelwa Bandio

No comments: