Monday, March 22, 2021

Tanzanian Abroad (TzA) EP 1. Mtumishi Angel Benard

Angel Benard anafahamika kwa wengi kama mtumishi wa Mungu kwa njia ya nyimbo. Lakini yeye ni Mchungaji na pia ana mengi anayofanya katika utumishi wake. Mbali na huduma hii, Mtumishi Angel Benard anajihusisha na mambo mbalimbali katika jamii.

No comments: