Monday, March 22, 2021

Tanzanian Abroad (TzA) EP 3: Mahojiano na David Mrema

Katika Tanzania Abroad wiki hii nazungumza na David Mrema. Muasisi wa Pamoja We Can Harambee USA. Shirika ambalo linasaidia wanachama wake kupata hela za kukimu gharama za mazishi. Wanachama waliokidhi vigezo hupatiwa dola 15,000 za kimarekani ndani ya saa 24 hadi 72 tangu taarifa kuwasilishwa kwa uongozi.Mrema anaeleza mengi kuhusu PHU

No comments: