Monday, April 19, 2021

255 Info Package ya Kwanza Radio EP06 Aprili 19, 2021

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Kwa sasa tusikilize kupitia Radio Garden radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

No comments: