Wednesday, October 1, 2008

Leo Katika Historia

Siku ya ma-Vegeterian ulimwenguni

01/10/1960: Nchi ya Nigeria yapata uhuru

01/10/1961: Cameroon ya Magharibi na Mashariki zaungana kuunda Shirikisho la Jamhuri ya Cameroon

Edson Arantes Do Nascimento aka Pele

01/10/1977: Nyota wa soka wa Brazil Edison Arantes do Nascimento maarufu kama Pele astaafu akiwa na magoli 1281 katika mechi 1363 alizocheza (http://en.wikipedia.org/wiki/Pele)

No comments: