Wednesday, October 1, 2008

EID MUBARAK

NI SIKU NYINGINE YA KUSHEREHEKEA KUMALIZIKA KWA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KUANZA KUYATENDEA KAZI YALE MEMA YOTE YALIYOFUNZWA KATIKA KIPINDI HIKI.
NACHUKUA NAFASI HII KUWAPONGEZA WOTE MLIOUMALIZA MWEZI HUU NA KUOMBA KUENDELEZA IMANI NA MAFUNZO MEMA TULOJIFUNZA KATIKA KIPINDI HIKI KWA MAISHA YA KILA MMOJA WETU KATIKA JAMII ZETU.
Eid Mubarak

-Bandio M.TNo comments: