23/09/1942: Mpango wa Uingereza kuvamia majeshi yanayoongozwa na Field Marshal maarufu wa Ujerumani Erwin Rommel ulioitwa Operation LightFoot kufanyika tarehe 23 Oktoba
23/09/1940: Serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini yatangaza uamuzi wa kuruhusu timu zenye mchanganyiko wa wachezaji wa rangi tofauti kuiwakilisha nchi katika michuano ya michezo ya kimataifa lakini ndani ya nchi bado ubaguzi uendelee

3 comments:
Nimevutiwa sana na mdau na mfalme wa reggae duniani Robert Nesta Marley. Huyu ni mwanaharakati wa usawa duniani kati ya watu weusi na weupe na aina zote za udhalilishaji. TUJIULIZE LEO HII TANZANIA HALI IKOJE?
Nuff Respect Deo. Kama wewe ni askari wa Reggae kama tulivyo utatambua kuwa yalosemwa mengi yanatendeka. Sikiliza "Real Situation" na angalia hali ya duniani wakiamini kuharibu nchi ndo suluhisho. Sikiliza "War" kisha angalia Dafur ambako wanataka rangi fulani iwe mtawala na fulani awe mtawaliwa. Na hapo ni kwa upande wa Nesta. Ukiwasikiliza kwa Lucky Dube, Luciano, Morgan Heritage, Culture, Burning Spear, Nasio Fontaine na wengine walio Roots utaona kuwa tunaishi Reggae na ndio njia halisi ya "kupigana bila kupigana" na kuelimishana kutambua tulikotoka na tutakiwako kwenda.
"Reggae don't haffi nuh end mon, ma feelings 'bout dis music is, dis music gwan grow bigger an' bigger an' bigger and finds it's right people as it gets bigger" Robert Nesta Marley.
Post a Comment