Tuesday, September 23, 2008

Leo Katika Historia

23/09/1940: Katika vita kuu ya pili ya Dunia, majeshi huru ya Ufaransa chini ya Generali Charles de Gaulle yanashushwa nchini Senegal na jeshi la wanamaji la Uingereza

23/09/1942: Mpango wa Uingereza kuvamia majeshi yanayoongozwa na Field Marshal maarufu wa Ujerumani Erwin Rommel ulioitwa Operation LightFoot kufanyika tarehe 23 Oktoba

23/09/1940: Serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini yatangaza uamuzi wa kuruhusu timu zenye mchanganyiko wa wachezaji wa rangi tofauti kuiwakilisha nchi katika michuano ya michezo ya kimataifa lakini ndani ya nchi bado ubaguzi uendelee

23/09/1980: Onesho la mwisho lake Robert Nesta Marley lililofanyika Stanyey, Pittsburgh, Pennsylvania, USA

3 comments:

Leroy Deo Kimolo said...

Nimevutiwa sana na mdau na mfalme wa reggae duniani Robert Nesta Marley. Huyu ni mwanaharakati wa usawa duniani kati ya watu weusi na weupe na aina zote za udhalilishaji. TUJIULIZE LEO HII TANZANIA HALI IKOJE?

Mzee wa Changamoto said...

Nuff Respect Deo. Kama wewe ni askari wa Reggae kama tulivyo utatambua kuwa yalosemwa mengi yanatendeka. Sikiliza "Real Situation" na angalia hali ya duniani wakiamini kuharibu nchi ndo suluhisho. Sikiliza "War" kisha angalia Dafur ambako wanataka rangi fulani iwe mtawala na fulani awe mtawaliwa. Na hapo ni kwa upande wa Nesta. Ukiwasikiliza kwa Lucky Dube, Luciano, Morgan Heritage, Culture, Burning Spear, Nasio Fontaine na wengine walio Roots utaona kuwa tunaishi Reggae na ndio njia halisi ya "kupigana bila kupigana" na kuelimishana kutambua tulikotoka na tutakiwako kwenda.

Anonymous said...

"Reggae don't haffi nuh end mon, ma feelings 'bout dis music is, dis music gwan grow bigger an' bigger an' bigger and finds it's right people as it gets bigger" Robert Nesta Marley.