
Wimbo wa Taifa ukiimbwa

Rene Henry akiimba wimbo wa Black National Anthem

Wageni wakishangilia baada ya nyimbo kuimbwa

Baba Rick Tingling toka Nyerere Health and Education Fund akikaribisha wageni na kuelezea juu ya mfuko huo

Julius Nyerere III akieleza maisha na mahusiano yake na Babuye

Mgeni wa Heshima Balozi wa Tanzania USA Mhe Balozi Ombeni Sefue akitoa neno kuu

Baadhi ya wanafamilia wa Hayati Mwl Nyerere waliosaidia kufanikisha siku hiyo.


Balozi Sifue akikata keki akishuhudiwa na mwanafamilia wa Nyerere



Baadhi ya wageni walikwa
No comments:
Post a Comment