Monday, December 8, 2008

EID MUBARAK!

Napenda kuwatakia EID NJEMA wale wote washerehekeao siku ya leo. Ule Upendo, Heshima na Thamani tufundishwayo baina yetu iendelee kuwa nguzo muhimu kwa jamii nzima na tuendelee kuishi kwa umoja, ushikamano na ushirikiano.
EID MUBARAK

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawatakia pia Id mubarak njema kwa wote.

Fadhy Mtanga said...

Kaka Mubelwa, napenda kuungana na da Yasinta kukutakia Eid njema, yenye furaha na amani.
Pia nawatakia wanablog wote na wasomaji wetu wote heri ya sikukuu ya Eid.
Mungu awabariki sana.