Saturday, February 7, 2009

Chemsha Bongo. Big Boys Don't Cry

Umeshawahi kupenda ukapenda na kupenda bila kujua kuwa unapendwa na ambaye mnapendana na hamuambiani? Na pale unapofikiria kumwambia ukawa umechelewa? Umewahi kumpenda mtu kiasi cha wewe kuogopa na (pengine) kuhisi kuna ulichowekewa uvutiwe naye? Umewahi kumpenda mtu ukamuomba kukiwa na uwezekano wa maisha baada ya kifo mhalalishe penzi lenu na kuishi maisha ambayo mliyatamani lakini hamkuwasilisha hisia zenu kwa wakati? Ama kumpenda mtu ukadhani NDIYE TAFSIRI HALISI YA MAPENZI?
Ukaanza kujiuliza imekuwaje leo hii unatamka NAKUPENDA kwa mtu ambaye unajua kuwa huwezi kuwa naye? Kujikuta ukitamka neno ambalo hukuwahi kulisikia popote maishani mwako zaidi ya ulipoambiwa na wazazi wako?
YANAWAKUTA WENGI na mmoja wao alikuwa Lucky Dube ambaye aliimba hapa kwenye wimbo wake aliouita Big Boys Don't Cry.
Ukijiweka kwenye taswira yake, ukajaribu kuwa na hisia zake na kisha kuyaangalia maisha ndani ya moyo wake, unaweza kueleza ni kiasi gani anateseka (hasa akijua kuwa hawezi kuwa naye) na labda cha kujiuliza ni NINI CHA KUFANYA KUMSAIDIA?
Sikiliza huku ukisoma maneno yake. NB: Unachelewa kuanza kusikika kidogo kama 12 secIf we both believe in Reincarnation,
Maybe we will have a chance in the next life.
You felt something for me and I was so deeply in love with you.
But we both said nothing
Till we ran out of time
Sometimes I cry,
I said I cry
And it's not because of the pain I feel inside
And it's not because of the hurt I feel inside
But I cry,
I said I cry
Sometimes I cry

And I remember the days
When love was so far away from me,
I only knew about love when mommy and daddy told me they loved me,
And I never knew that today it would be
Me having got to say I love you
But I remember that

Chorus
Big boys don't cry x6
And sometimes I cry
I said I cry.

And I remember the days
When love was so far away from me,
The only time I heard about love was
When mommy and daddy told me they loved me,
And I didn't know that today I would be standing here
telling you I love you,

I see your beautiful face
Everytime I close my eyes,
You reach out for me I reach out for you
But in real life we cannot meet Oh!!!!!
That is why I cry,
I said I cry
And I remember the days
When love was such a simple thing,
The only time I heard about it was
When mommy and daddy told me they loved me,
And I didn't know that today I would be standing here
having got to tell you again and again I love you,

Chorus till fade...

2 comments:

Christian Bwaya said...

Mzee maneno mazito haya. Asante sana kwa kuniachia jambo la kutafakari.

Anonymous said...

Mzee posti yako ya leo, haya, wacha nijongee YouTube nikamsikilize Saida Karoli, sijui nianze na 'Mapenzi Kizunguzungu...
au na 'Mpenzi nakupenda... au wacha tu ntizame zote.