Sunday, April 26, 2009

Give Thanks and Praises ..NO JESUS NO LIFE by Makoma

3 comments:

Subi Nukta said...

Jina 'Makoma' limenikumbusha kibao chao cha 'Butu na Moyi' wakati huo wimbo ndiyo 'kipya kinyemi' ilikuwa ukianza tu ITV, kila mwenye Tv ON anahakikisha ameweka volume 36 (HITACHI) na ambaye Tv imezimwa anahakikisha ameiwasha kisha full blast. Alikuwepo mmoja ameunga Tv kwenye spika za Panasonic sijui zilikuwa na Watts ngapi vile, alikuwa anafungulia full blast, basi toka floor ya 2 watu waliopo barabarani watasikia kama vile wamevaa headphones. Korido nzima inacheza na kusherehekea bila kujali hadi mwisho wa wimbo.
Aliyekuwa anasoma wakati huo inabidi aahirishe kwa muda, apende asipende!

Mzee wa Changamoto said...

Dah! Ilikuwa wapi hiyo Da Subi? Muhimbili ama? Nashukuru kama kuna kumbukumbu zozote njema zilizorejea kwa jina hili.
Nakutakia Jumapili njema

Anonymous said...

Umekisia sawa Mube mzee wa Chchzzzz!.