Saturday, May 9, 2009

Thank You Mamas

Si rahisi kwa mwanamuziki kuwakilisha kila kitu kwa kila Mama, na ndivyo ilivyo kwa wana-blog pia kuwakilisha wanamama wote. Lakini napenda kuanza sehemu hii ya kwanza kwa kuwashukuru kinamama wote ambao hawakupata msaada wa kutosha kutoka kwa kinababa waliowafanya wao kuwa Mama, lakini wakasimama katika kile walichonacho na kuweza kuwakuza na kuwatunza wana wao.
Asanteni

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Asante sana ni yote ambayo naweza kusema leo

Anonymous said...

Nzuuuuuuri!
Asante kushukuru!