Sunday, June 28, 2009

Ngoma Afrika Band kutumbuiza AFRIKA FESTIVAL,Goeppingen City,Germany

The Ngoma Africa Band aka FFU!na mdundo wao wa "Bongo Dansi" wanatarajiwa kutingisha jukwaa lingine katika onyesho kubwa la Afrika Festival litakalo fanyika mjini Goeppingen,Ujerumani siku ya jumamosi ya 4 Julai 2009 saa 2.00 Usiku.
Bendi hiyo maarufu na dansi lake linalowatia kiwewe washabiki huko ughaibuni, wanasubiliwa kwa hamu na washabiki katika onyesho hilo.
Wasikilize hapa www.myspace.com/thengomaafrica pia unaweza kuwasiliana kwa kupitia.
ngoma4u@googlemail.com

No comments: