MICHAEL JACKSON kafariki
Hatimaye imekuwa rasmi kuwa yule gwiji wa muziki wa Pop ulimwenguni MICHAEL JACKSON amefariki dunia saa tisa na robo kwa saa za Marekani ya magharibi.
Aliripotiwa kuwa na tatizo la moyo kusimama kufanya kazi (Cardiac Arrest) na kisha kupelekwa hospitali. Hata hivyo afya yake imekuwa ikiripotiwa kuzorota miezi ya karibuni na yasemekana alikuwa na uzito mdogo kuliko umbo lake (takribani 100lbs) na pia kukabiliana na msongo wa mawazo (Stress) kutokana na matatizo yake ya kisheria, kimapato na kifamilia na wapo wanaoamini kuwa kifo chake kimechangiwa na matatizo haya.
Mpaka anafariki, Michael Jackson alikuwa akishikilia rekodi ya kuuza nakala nyingi zaidi katika wimbo Thriller ambao video yake ilivuma kote ulimwenguni.
Mwaka 1985, Michael Jackson akishirikiana na Lionel Richie, waliandika wimbo wa WE ARE THE WORLD ulioimbwa na kundi la UNITED SUPPORT OF ARTIST FOR AFRICA (U.S.A for Africa). Tazama video yake ukifuatilia mashairi yake pia
There comes a time when we heed a certain call (Lionel Richie)
When the world must come together as one (Lionel Richie & Stevie Wonder)
There are people dying (Stevie Wonder)
Oh, and it's time to lend a hand to life (Paul Simon)
The greatest gift of all (Paul Simon/Kenny Rogers)
We can't go on pretending day by day (Kenny Rogers)
That someone, somewhere will soon make a change (James Ingram)
We're all a part of God's great big family (Tina Turner)
And the truth (Billy Joel)
You know love is all we need (Tina Turner/Billy Joel)
(CHORUS)
We are the world, we are the children
We are the ones who make a brighter day so let's start giving (Michael Jackson)
There's a choice we're making we're saving our own lives (Diana Ross)
It's true we'll make a better day just you and me (Michael Jackson/Diana Ross)
Well, send 'em you your heart so they know that someone cares (Dionne Warwick)
And their lives will be stronger and free (Dionne Warwick/Willie Nelson)
As God has shown us by turning stone to bread (Willie Nelson)
And so we all must lend a helping hand (Al Jarreau)
(REPEAT CHORUS)
We are the world, we are the children (Bruce Springsteen)
We are the ones who make a brighter day so let's start giving (Kenny Loggins)
Oh There's a choice we're making we're saving our own lives (Steve Perry)
It's true we'll make a better day just you and me (Daryl Hall)
When you're down and out there seems no hope at all (Michael Jackson)
But if you just believe there's no way we can fall (Huey Lewis)
Well, well, well, let's realize that a change can only come (Cyndi Lauper)
When we (Kim Carnes)
stand together as one (Kim Carnes/Cyndi Lauper/Huey Lewis)
(REPEAT CHORUS AND FADE) (Everyone)
Moja ya picha inayosemekana kuwa kati ya picha za mwisho kabisa zikimuonesha Michael Jackson akikimbizwa hospitali yapatikana HAPA
Thursday, June 25, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hufika wakati kifo kikachukua nafasi ya uhai, huu ndiyo mwisho wa binadamu na mwanzo tusioujua. Apate pumziko jema. Amin.
subi hacha hizo. huu sio mwisho wala nini. sema tu kamaliza ka-kipengele kamojawapo katika maisha. nimeongelea sana juu ya kifo nashangaa tunazidi kukiona kama mwisho!
mzee unaonaje ukitupa historia ya kujibadili kwake na lengo? maisha ya kujikana ni noma. harafu jamaa tajiri lakini ndo duh!
akazaliwe tena azaliwapo katika re-incarnation. unaonaje ukizaa mtoto ukajagundua kuwa ni re-encarnation ya jackson? yaani kuwa zamani alikuwa jackson aka michael
Post a Comment