Saturday, August 22, 2009

RAMADHANI NJEMA

ramadan kareem Pictures, Images and Photos
"The month of Allah (Ramadan) has come with its MERCIES, BLESSINGS and FORGIVENESSES.....Therefore, you MUST INVOKE YOUR LORD in all earnestness with hearts free from sin and evil, and pray that Allah may help you to keep fast, and to recite the Holy Qur’an."
Nawatakia mfungo mwema tunapoadhimisha MWEZI MTUKUFU wa RAMADHANI na naamini kuwa yale mema yatakayofunzwa hapa, yatakuwa chachu ya mabadiliko katika maisha ya kila mmoja kwa kipindi chote cha maisha yetu.
Yafunzwayo katika mwezi huu ni yale ambayo yataufanya ulimwengu kuwa MAHALA PEMA PA KUISHI kwa jamii yeyote ile. Tunakumbushwa (na hapa nanukuu) "Pay RESPECT to your elders, HAVE SYMPATHY for your youngsters and BE KIND towards your relatives and kinsmen. GUARD YOU TONGUE against unworthy words, and YOUR EYES from scenes that are not worth seeing (forbidden) AND YOUR EARS from sounds that should not be heard."
Kwa kufanya haya, tutakuwa tumeyagusa maisha ya kila mmoja kwa MATENDO na hakika tutaweza kupata hayo toka kwa wale tuwatendeao.
RAMADHANI NJEMA
With Love from CHANGAMOTO YETU BLOG

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nanukuu "Nawatakia mfungo mwema tunapoadhimisha MWEZI MTUKUFU wa RAMADHANI na naamini kuwa yale mema yatakayofunzwa hapa, yatakuwa chachu ya mabadiliko katika maisha ya kila mmoja kwa kipindi chote cha maisha yetu.
Yafunzwayo katika mwezi huu ni yale ambayo yataufanya ulimwengu kuwa MAHALA PEMA PA KUISHI kwa jamii yeyote ile. Tunakumbushwa" mwisho wa kunukuu. RAMADHANI NJEMA ULIMWENGU KWOTE.

Born 2 Suffer said...

Asante ni mwezi mtukufu wa kujisafisha nawatakia na mimi nyote kila la kheri.