Wednesday, October 28, 2009

Da Subi huyoooooo ayoyoma. Ahama Nukta kwenda Wavuti

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina
www.wavuti.com


This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com


Asante kwa ushirikiano!

Thank you for your kind support!Ungana nasi katika wavuti!

Join us at wavuti!

2 comments:

Subi Nukta said...

Mube muda huu wapaswa uwe unabadili nepi? au amesinzia ndo umechepuka kidogo ukaja hapa barazani?
Asante kwa kuufahamisha umma wako kuhusu kuhama kwangu, sijahama kijiji, nimehama mtaa tu.
Karibu tujumuike, msinitenge huko, ndiyo nimefungua njia na wengi waje wajiunge.

Mzee wa Changamoto said...

Hii post imewekwa na mtoto mwenyewe. Eti anaanza mapema ili akikuwa awe kama Auntie Subi. Lol
Kama nilivyosema, twafuata Dada.
Tupo Pamoja