Friday, December 25, 2009

Heri ya Krismas kwenu nyote

Napenda kuwatakiwa wasomaji wote HERI YA KRISMAS na maandalizi mema ya kuanza mwaka mpya.
Nawapenda na kuwaheshimu saaaana

12 comments:

Faith S Hilary said...

Na wewe pia pamoja na familia yako. God bless ya! xx

Evarist Chahali said...

Ndugu yangu,nami nakutakia Krismasi njema wewe pamoja na familia.

Simon Kitururu said...

Wewe na Familia Yako Pia Mkuu!

Heri ya Krismas!

Namuheshimu sana Yesu katika shughulizake kwa Mungu kama Mohamedi kwa Allah!

Tuko Pamoja!

Godwin Habib Meghji said...

NIKUTAKIE PIA WEWE NA FAMILIA YAKO X MASS NJEMA NA HERI YA MWAKA MPYA

Yasinta Ngonyani said...

GOD JUL= KHERI YA CHRISTMAS! KWAKO NA FAMILIA YAKO. Upendo utawala Daima katika ninyi,na pia maandalizi meme kwa mwaka ujao.

Mija Shija Sayi said...

Na nyie pia, mbarikiwe wote.

José Ramón said...

Mubelwa Bandio yenu na wageni. Ubunifu na ubunifu kutoka picha za Jose Ramon Merry Christmas

malkiory said...

Heri na kwako pia, mungu azidi kukupa nguvu na baraka tele kwa mwaka ujao wa 2010.

PASSION4FASHION.TZ said...

Nakwako pia na familia yako kaka,mbarikiwe sana.

Albert Kissima said...

Nashukuru kaka, nami naitakia familia yako heri ya sikukuu ya Noeli na mwaka mpya wenye furaha, upendo, mafanikio na amani teeeeeeele.

mumyhery said...

Shukrani na wewe pia christmas njema, na twakutakia heri ya mwaka mpya

Eva James said...

Kheri ya Christmas