Saturday, December 19, 2009

Kulinoga leo huko nje


12 comments:

Anonymous said...

Yani kama Bongo vile.

nyahbingi worrior. said...

Kaka huku Bongo ni joto la kufa mtu.Kweli tembea uone maajabu ya mwanadamu na mambo yake.

Anonymous said...

Saaasa, mistari ya kupaki magari hapo unaionaje? (just kidding).
Na hapo umelala na kuamka na kushinda ndani wikiendi nzima, ukiamka J3 kwenda shule na kazini, unakumbukaje ulikopaki gari? unalichimbuaje huko kwenye tope la barafu? Afadhali upo usafiri wa umma.
Halafu, si utume japo kidogo Tanzania ipooze joto mwaka huu la kuua mtu?

Mija Shija Sayi said...

Yote tisa...kumi ni utaalamu wako wa ku-edit filamu, hivi ndo unayosomea nini? Mwanzoni nilianza kuiangalia hiyo barafu lakini baada sekunde chache nikajikuta nimeconcentrate na jinsi filamu inavyokwenda tukio baada ya tukio(ule muunganiko). Background ya muziki ndo imenimaliza kabisa.

Nimeikubali changamoto production.

OMBI: Tufungulie darasa tafadhali hapa kibarazani.

mumyhery said...

Duh pole sana na bado unaendelea!!!

Fadhy Mtanga said...

Natamani hiyo hali ingetokea Bongo, sana sana hapa Daslamu. Tumechoka na mijoto hadi ukiweka yai kwenye sufuria hewani linaiva.

Faith S Hilary said...

Kwanza naungana na dada Mija

Pili, HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHA! Lemme explain why it was such an amusement to me (the video)

- 0.00 till 0.03

- All the hard work then kept on snowing. These things can be annoying sometimes (That's why I eat them then get flu the next day lol)

-Last but not least, "Changamoto Produ...?"

Malizia. Thanks for making my day...or night...whatever it is...lol

Mzee wa Changamoto said...

Shukrani WAPENDWA.
Da Mija. Hakuna la utaalamu Dadangu, ni papasa papasa tu ili mradi liende. Yaani najitahidi kuona kama nitafikia kiwango cha "My World Videos" cha Da Mdogo Candy...Lol
Pili nilitakiwa nitoke ndio maana nikalazimika kufanya usafi na nilivyoamka leo asubuhi sikuwa na tofauti na jirani yangu aliyekuwa akinichungulia dirishani huku akikata "masanga" na hakuigusa gari yake jana.
Da Mdogo Candy, usianze sasa. Ntasema yote hapa weweeeeeeeeee......
Anyway!!
Blessings to y'all

Godwin Habib Meghji said...

kwa kuangalia hiyo video, Naona maisha yangu yameshakuwa marahisi. Ni kukusaka tu na kutumia muda wako uziozidi masaa mawili, kunigawia haya maujuzi. Nina uhakika hatujatenganishwa kwa zaidi ya maili 20. NITAKAPOBISHA HODI, NAOMBA UNIFUNGULIE

Mzee wa Changamoto said...

Kaka Godwin
Nahisi tutakuwa wote kabla ya mwaka mpya
NIKIKUONA UNAKUJA NTAFUNGUA KABLA HUJABISHA
Heshima kwako na asante kwa kuwa wewe

sista jam said...

yaani Muberwa tumekaa wote muda mrefu sana lakini sikuwahi kuhisi kama ulipata ajali, na kama uliwahi kusema basi nimesahau jamani nakuomba unisamahe bureeeeeeeeeeee pole sana na mwenyezi mungu akuepushe na majanga mengine. Ila nimefurahi sana kukuona kny picha si unakumbuka mambo yetu na Mpokigwa mwana wa Freddy hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sista jam said...

yyyyyyyyyyyani Muberwa jamani unakumbuka zile enzi zetu za manyanyaso pale kwenye kile kituo chetu cha matangazo kilichokuwa kikiishia Kariakoo enzi hizo!
hahahahaaaaaaaaaaaa sina mbavu mie