Saaasa, mistari ya kupaki magari hapo unaionaje? (just kidding). Na hapo umelala na kuamka na kushinda ndani wikiendi nzima, ukiamka J3 kwenda shule na kazini, unakumbukaje ulikopaki gari? unalichimbuaje huko kwenye tope la barafu? Afadhali upo usafiri wa umma. Halafu, si utume japo kidogo Tanzania ipooze joto mwaka huu la kuua mtu?
Yote tisa...kumi ni utaalamu wako wa ku-edit filamu, hivi ndo unayosomea nini? Mwanzoni nilianza kuiangalia hiyo barafu lakini baada sekunde chache nikajikuta nimeconcentrate na jinsi filamu inavyokwenda tukio baada ya tukio(ule muunganiko). Background ya muziki ndo imenimaliza kabisa.
Shukrani WAPENDWA. Da Mija. Hakuna la utaalamu Dadangu, ni papasa papasa tu ili mradi liende. Yaani najitahidi kuona kama nitafikia kiwango cha "My World Videos" cha Da Mdogo Candy...Lol Pili nilitakiwa nitoke ndio maana nikalazimika kufanya usafi na nilivyoamka leo asubuhi sikuwa na tofauti na jirani yangu aliyekuwa akinichungulia dirishani huku akikata "masanga" na hakuigusa gari yake jana. Da Mdogo Candy, usianze sasa. Ntasema yote hapa weweeeeeeeeee...... Anyway!! Blessings to y'all
kwa kuangalia hiyo video, Naona maisha yangu yameshakuwa marahisi. Ni kukusaka tu na kutumia muda wako uziozidi masaa mawili, kunigawia haya maujuzi. Nina uhakika hatujatenganishwa kwa zaidi ya maili 20. NITAKAPOBISHA HODI, NAOMBA UNIFUNGULIE
yaani Muberwa tumekaa wote muda mrefu sana lakini sikuwahi kuhisi kama ulipata ajali, na kama uliwahi kusema basi nimesahau jamani nakuomba unisamahe bureeeeeeeeeeee pole sana na mwenyezi mungu akuepushe na majanga mengine. Ila nimefurahi sana kukuona kny picha si unakumbuka mambo yetu na Mpokigwa mwana wa Freddy hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yyyyyyyyyyyani Muberwa jamani unakumbuka zile enzi zetu za manyanyaso pale kwenye kile kituo chetu cha matangazo kilichokuwa kikiishia Kariakoo enzi hizo! hahahahaaaaaaaaaaaa sina mbavu mie
.Today we have bigger houses and smaller families; more convenience but less time. .We have more Degrees but less common sense; more knowledge but less judgment. .We have more experts but more problems; more medicine but less wellness. .We spend too recklessly, laugh too little, drive too fast, get too angry too quickly, stay up too late, read too little, watch Tv too much and Pray too seldom. .We multiply our Possessions but reduce our values; we talk too much, love too little and lie too often. .We’ve learned how to make living, but not a life; we’ve added years to life not life to years. .We have taller buildings, but shorter tempers; wider freeways but narrower viewpoint. .We spend more, but have less; we buy more, enjoy less. .We’ve been all the way to the moon and back, but have trouble crossing the street to meet our neighbor. .We’ve conquer outer space, but not inner space. .We split the atoms, but not our prejudice .We write more, learn less; plan more but accomplish less; we’ve learned to rush but not to wait; we have higher income but lower morals. .We build more computers to hold more info, to produce more copies but have less communications. .We’re long on quantity but short on Quality. .These are the time for Fast food and slow digestion; tall men and short characters. .More leisure but less fun; more kinds of food but less nutrition; two income but many divorces, fancier houses but broken homes.
12 comments:
Yani kama Bongo vile.
Kaka huku Bongo ni joto la kufa mtu.Kweli tembea uone maajabu ya mwanadamu na mambo yake.
Saaasa, mistari ya kupaki magari hapo unaionaje? (just kidding).
Na hapo umelala na kuamka na kushinda ndani wikiendi nzima, ukiamka J3 kwenda shule na kazini, unakumbukaje ulikopaki gari? unalichimbuaje huko kwenye tope la barafu? Afadhali upo usafiri wa umma.
Halafu, si utume japo kidogo Tanzania ipooze joto mwaka huu la kuua mtu?
Yote tisa...kumi ni utaalamu wako wa ku-edit filamu, hivi ndo unayosomea nini? Mwanzoni nilianza kuiangalia hiyo barafu lakini baada sekunde chache nikajikuta nimeconcentrate na jinsi filamu inavyokwenda tukio baada ya tukio(ule muunganiko). Background ya muziki ndo imenimaliza kabisa.
Nimeikubali changamoto production.
OMBI: Tufungulie darasa tafadhali hapa kibarazani.
Duh pole sana na bado unaendelea!!!
Natamani hiyo hali ingetokea Bongo, sana sana hapa Daslamu. Tumechoka na mijoto hadi ukiweka yai kwenye sufuria hewani linaiva.
Kwanza naungana na dada Mija
Pili, HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHA! Lemme explain why it was such an amusement to me (the video)
- 0.00 till 0.03
- All the hard work then kept on snowing. These things can be annoying sometimes (That's why I eat them then get flu the next day lol)
-Last but not least, "Changamoto Produ...?"
Malizia. Thanks for making my day...or night...whatever it is...lol
Shukrani WAPENDWA.
Da Mija. Hakuna la utaalamu Dadangu, ni papasa papasa tu ili mradi liende. Yaani najitahidi kuona kama nitafikia kiwango cha "My World Videos" cha Da Mdogo Candy...Lol
Pili nilitakiwa nitoke ndio maana nikalazimika kufanya usafi na nilivyoamka leo asubuhi sikuwa na tofauti na jirani yangu aliyekuwa akinichungulia dirishani huku akikata "masanga" na hakuigusa gari yake jana.
Da Mdogo Candy, usianze sasa. Ntasema yote hapa weweeeeeeeeee......
Anyway!!
Blessings to y'all
kwa kuangalia hiyo video, Naona maisha yangu yameshakuwa marahisi. Ni kukusaka tu na kutumia muda wako uziozidi masaa mawili, kunigawia haya maujuzi. Nina uhakika hatujatenganishwa kwa zaidi ya maili 20. NITAKAPOBISHA HODI, NAOMBA UNIFUNGULIE
Kaka Godwin
Nahisi tutakuwa wote kabla ya mwaka mpya
NIKIKUONA UNAKUJA NTAFUNGUA KABLA HUJABISHA
Heshima kwako na asante kwa kuwa wewe
yaani Muberwa tumekaa wote muda mrefu sana lakini sikuwahi kuhisi kama ulipata ajali, na kama uliwahi kusema basi nimesahau jamani nakuomba unisamahe bureeeeeeeeeeee pole sana na mwenyezi mungu akuepushe na majanga mengine. Ila nimefurahi sana kukuona kny picha si unakumbuka mambo yetu na Mpokigwa mwana wa Freddy hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yyyyyyyyyyyani Muberwa jamani unakumbuka zile enzi zetu za manyanyaso pale kwenye kile kituo chetu cha matangazo kilichokuwa kikiishia Kariakoo enzi hizo!
hahahahaaaaaaaaaaaa sina mbavu mie
Post a Comment